Waziri ataka wazazi kuwasaidia wahitimu kujiajiri
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Mwigulu Nchemba amesema katika Taifa la Tanzania uhalisia ni kwamba kati ya vijana 100 wanaoingia kwenye soko la ajira, ni vijana saba tu ndio wanaopata ajira kwenye sekta rasmi.