(Baadhi ya wachezaji wa Simba SC wakijiandaa kusafiri)
Wawakilishi wa Tanzania Kimataifa, Wekundu wa Msimbazi SImba inasafiri mchana wa leo Februari 23, 2022 kuelekea nchini Morocco wakitokea nchini Niger kupitia nchini Uturuki kuifuata RS Berkane ya nchini humo.