Pro. Ndalichako atoa rai UMISAVUTA

Mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Pauline Gekul akipita kukagua timu mbalimbali zinazoshiriki mashindano ya UMISAVUTA yanayoendelea mkoani Mtwara

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Profesa Joyce Ndalichako amesema kuwa Sera, Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo vitasimamiwa ipasavyo ili kuimarisha ufundishaji na ujifunzaji wa michezo shuleni na katika Vyuo vya Ualimu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS