Kiongozi akutwa amekatwa kichwa ndani ya kanisa

Mwili wa Nickson Myamba, ukiagwa kanisani

Nickson Myamba ambaye ni katibu wa baraza la walei kigango cha Makambako, jimbo la Njombe, amekutwa ameuawa kwa kutenganishwa kichwa na mwili wake ndani ya Kanisa Kuu Katoliki la Parokia ya Makambako usiku wa Februari 7, 2022.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS