Rais Samia amkumbuka Dkt. Magufuli kwa hili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema kwamba mtangulizi wake Hayati Dkt. John Magufuli, alimuachia urithi mzito katika masuala ya miundombinu na kuahidi mawazo yote aliyoyaanzisha atayatekeleza kikamilifu.

