Yanga SC yavunja ukimya kuhusu waamuzi Nchini
Uongozi wa klabu ya Yanga umesikitishwa na mwenendo mbaya wa maamuzi kwenye ligi kuu soka Tanzania bara hasa katika michezo inayowahusisha watani zao wa jadi klabu ya soka ya Simba ndani ya msimu huu wa 2021/22.

