Baba arudi nyumbani mikono mitupu

Mzee Hiltan Kalugho

Hiltan Kalugho mwenye umri wa miaka 94, amerejea nyumbani kwao nchini Kenya mikono mitupu baada ya kupambana Tanzania kutafuta maisha kwa miaka 42 bila mafanikio.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS