Makonda kutafutwa hadi kijijini kwao Koromije
Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Kinondoni imekubali maombi ya upande wa waleta maombi, katika kesi iliyofunguliwa dhidi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, kutafutwa kwenye makazi yake ya Dar es Salaam na kijijini kwao Koromije Misungwi mkoani Mwanza.

