Manchester United kuivaa Burnley leo EPL

(Wachezaji wa Manchester United wakishangilia moja ya bao kwenye EPL)

Klabu ya Manchesteter United itawania kushinda mchezo wa tatu mfululizo wa Ligi kuu nchini England EPL Usiku wa saa 5:00 usiku wa leo Februari 8, 2022 itakaposhuka dimbani kucheza ugenini dhidi ya Burnley  mchezo utakaochezwa katika dimba la Turf Mor.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS