"Bongo ukifa unakuwa star" - Jacqueline Wolper Picha ya msanii wa filamu Jacqueline Wolper Ni headlines za staa wa filamu Bongo Jacqueline Wolper, amefunguka suala la tabia ya watu kusifia mtu au kusemea mazuri yake akiwa tayari ameshafariki. Read more about "Bongo ukifa unakuwa star" - Jacqueline Wolper