"Tumewajibu kwa mimba" - Mr II Sugu Picha ya Mr II Sugu Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi 'Mr II Sugu' amewajibu waliomdhihaki kwenye mtandao wa Instagram kwa kumpa mke wake ujauzito baada ya kumsema kwamba ni mgumba. Read more about "Tumewajibu kwa mimba" - Mr II Sugu