Osaka apata majeraha kuelelea Australian Open

Naomi Osaka

Nyota wa Japan anayetamba katika mchezo wa Tenisi, Naomi Osaka amepata majeraha ikiwa ni siku chache kabla ya kuanza kwa mashindano ya Australian open yanayotarajia kutimua vumbi January 17.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS