Wenyeji Cameroon wafuzu robo fainali, AFCON

Wachezaji wa Cameroon wakishangilia bao la kwanza dhidi ya Comoro

Wenyeji wa michuano ya soka ya mataifa barani Afrika AFCON timu ya taifa ya Cameroon imefuzu hatua ya robo fainali baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 kwenye mchezo wa 16 bora dhidi ya timu ya taifa ya Comoro. Na wataminyana na Gambia kwenye mchezo wa robo fainali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS