Rais Samia awapongeza JWTZ kwa kazi nzuri
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameshiriki katika makabidhiano ya miradi mipya ya iliyofanywa na nchi ya Ujerumani katika Hospitali ya Lugalo ambapo amelipongeza Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa kazi nzuri ya kulinda mipaka ya nchi.