Shombo za Bibi Mwenda kwa mashabiki wa Simba
Presha ya mchezo wa watani wa jadi fainali ya kombe la FA kati ya Simba na Yanga imezidi kuwa kubwa kwa pande zote mbili huku kila shabiki akitamba kwamba atamfunga mwenzake kwenye mchezo huo utakaochezwa Julai 25 Mkoani Kigoma.