Mapya aliyoyasema Sholo Mwamba kuhusu Muna Love

Kulia ni Sholo Mwamba kushoto ni Muna Love

Icon wa muziki wa Singeli Bongo Sholo Mwamba amesema Muna Love aache tabia ya kuchukua wavulana wadogo na kwenda kuishi nao kwani sifa hiyo inamuharibia kwenye kazi zake za utumishi wa Mungu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS