Ripoti kutoka nyumbani kwa Anna Mghwira Arusha
East Africa Television imefanikiwa kufika nyumbani kwa marehemu Anna Mghwira mkoani Arusha na kuzungumza na majirani pamoja na mtoto wa pekee wa marehemu ambaye hata hivyo alisema bado ratiba ya mazishi haijapangwa.