Ni LA Clippers dhidi ya Brooklyn Nets kwenye NBA
Michuano ya Ligi ya kikapu nchini Marekani NBA, itaendelea alfajiri ya kuamkia kesho kwa michezo sita, lakini mchezo miwili inayotazamiwa kufuatiliwa na wengi ni kati ya Brooklyn Nets dhidi ya LA Clippers na ule wa Golden State Warriors dhidi ya Boston Celtic.