Wakazi Pugu Stesheni walilia fidia zao za SGR
Wananchi waishio Kata ya Pugu Stesheni Mtaa wa Kisiwani katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Jijini Dar es salaam ,wameiomba Serikali kuingilia kati suala lao ili waweze kulipwa Fidia zao na Shirika la Reli Tanzania ,baada ya kupitiwa na Mradi wa Treni ya Kisasa ya SGR.