"Kwamba kujua Kingereza ndiyo kusoma"- Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, amempandisha cheo aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Musoma Zepharine Galeba, na kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa, baada ya kutoa hukumu ya kesi kwa kutumia lugha ya kiswahili badala ya kutumia lugha ya kingereza.