Ukishiba chezea kidevu si miradi ya maji- Aweso
Waziri wa Maji Juma Aweso amewapa tahadhari wataalum wa Wizara ya Maji pamoja na wakandarasi wanaotekeleza miradi ya maji kutokuchezea miradi ya maji kwani watashughulikia ipasavyo huku akisema wizara ya maji si wizara ya ukame.