Kuchukua ubingwa ni ngumu- Tuchel
Kocha wa Chelsea Thomas Tuchel amesema malengo ya kikosi chake msimu huu ni kuhakikisha wanamaliza kwenye nafasi 4 za juu kwenye msimamo wa ligi kuu England na sio kuwania ubingwa hii ni baada ya kikosi hicho kutoka suluhu na Wolves kwenye mchezo wa EPL.