Simba yamtangaza Didier Gomes Da Rosa kuwa kocha Mtendaji Mkuu, Barbara Gonzalez akimkabadhi jezi ya mabingwa wa nchi Kocha Mkuu mpya Didier Gomes Da Rosa. Mtendaji Mkuu wa klabu ya soka ya Simba SC Barbara Gonzalez, leo Januari 24, 2021, amemtangaza Didier Gomes Da Rosa kuwa Kocha Mkuu mpya. Read more about Simba yamtangaza Didier Gomes Da Rosa kuwa kocha