Mali,Cameroon zakata tiketi ya robo fainali CHAN hili ndilo kombe la CHAN linalowaniwa na timu 16 katika mashindano ya mwaka huu Mataifa ya Mali na Cameroon yamekuwa ya kwanza kukata tiketi ya kucheza hatua ya robo fainali ya CHAN, baada ya kumaliza katika nafasi za juu kundi A. Read more about Mali,Cameroon zakata tiketi ya robo fainali CHAN