Serikali yapiga marufuku ulaji wa nyama ya Nguruwe Picha ya mnyama Nguruwe. Serikali imepiga marufuku wananchi wa Kanda ya Ziwa kula nyama ya Nguruwe ikiwa ni hatua za kukabiliana na mlipuko wa homa ya nguruwe uliotokea hivi karibuni. Read more about Serikali yapiga marufuku ulaji wa nyama ya Nguruwe