Wabunge wapewa maelekezo mapya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limewaagiza wabunge wote kuwasili jijini Dodoma, Januari 17, 2021, kwa ajili ya kuanza kwa vikao vya kamati za kudumu za Bunge zitakazoanza rasmi Januari 18 mwaka huu. Read more about Wabunge wapewa maelekezo mapya