Aliyeongoza Kitaifa adai hakuyaamini matokeo
Mwanafunzi Paul Luziga (17), kutoka katika Shule ya Sekondari Panda Hill ya mkoani Mbeya, ambaye ameongoza kwenye matokeo ya kidato cha nne kitaifa mwaka huu, amesema siri kubwa ya yeye kufanya vizuri ni kumtegemea Mungu.