Pochetino ashinda taji la kwanza, amshukuru Tuchel

Pochetino ameshinda taji lake la kwanza kwenye maisha yake ya ukocha

Kocha wa PSG Mouricio Pochetino amaeshinda taji lake la kwanza katika maisha yake ya ukocha, baada ya kikosi cha chake kuifunga Olympique Marseille mabao 2-1 kwenye mchezo wa fainali wa French Super CUP, lakini pia amemshukuru kocha wa zamani wa kikosi hicho Thomas Tuchel.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS