Mhubiri ahukumiwa miaka 140 jela

Jela

Mhubiri mmoja nchini Kenya, aliyewabaka watoto wake wawili na kuwapa ujauzito, amehukumiwa kifungo cha miaka 140 gerezani, kufuatia uamuzi wa Jaji wa Mahakama ya Baricho Anthony Mwicigi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS