Gari la kusafirishia maiti lakutwa na mirungi

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga, Blasius Chatanda, akionesha gari lililokamatwa na mirungi

Jeshi la Polisi mkoa wa Tanga, linamshikilia Simon Pasian Tarimo, mwenye umri wa miaka 37, dereva na mkazi wa Kimara jijini Dar es Salaam, akisafirisha mirungi bunda 1,685 sawa na kilogramu 133, akiwa ameweka kwenye jokofu linalotumika kuhifadhia jeneza lenye maiti wakati wa kusafirisha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS