Vijana walia na tiketi za kielektroniki nchini
Zoezi la ukataji wa tiketi kielektroniki kwa abiria wa mabasi yaendayo mikoani, imetajwa kama moja ya changamoto kubwa itakayopoteza ajira kwa mamia ya vijana nchini hasa waliokuwa wakikatisha tiketi hizo kwa kuandika.