Kituo kilichojengwa kwa Milioni 767 chazinduliwa
Mkuu wa wilaya ya Morogoro Bakari Msulwa, amezindua kituo kipya cha mabasi madogo cha Kaloleni kilichopo katika Manispaa ya Morogoro, kilichogharimu zaidi ya Shilingi Milioni 767.6, na kuifanya manispaaa kuwa na jumla ya vituo vitatu vya kisasa.