Chama kuikosa mechi ya wataji wa jadi Jumamosi

Chama kwenye mchezo dhidi ya Yanga SC

Kocha wa Simba Sven Vandenbroeck, amesema kwenye mchezo wa ligi kuu kesho Jumamosi, Novemba 7, 2020 dhidi ya Yanga, atawakosa wachezaji Clatous Chama, Bernard Morrison, Meddie Kagere na Chris Mugalu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS