Marais wa Marekani waliokaa muhula mmoja Ikulu
Taifa la Marekani linaendelea na mchakato wake wa kuhesabu kura za kuwachagua wawakilishi wa miji, majimbo na Urais kutokana na uchaguzi uliofanyika tarehe 3 Novemba, macho ya Wamarekani na wasio kuwa wananchi wa taifa lao, wanatizama kwa karibu kinyang'anyiro cha matokeo ya Urais,