Museveni aeleza kuhusu jimbo la Hai Rais Magufuli akiwa na Rais wa Uganda Yoweri Museveni Rais wa Uganda Yoweri Museveni, amesema alikuwa anafuatilia kwa makini uchaguzi mkuu wa Tanzania uliofanyika Oktoba 28, 2020, huku akipongeza ulivyoisha kwa amani. Read more about Museveni aeleza kuhusu jimbo la Hai