Kauli ya Solksjaer juu ya hatma ya kibarua chake

Mfungaji wa bao la kufutia machozi la Manchester United, Antony Martial (Aliye katikati), akirejesha mpira katikati ya uwanja.

Kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solksjaer amesema makosa yaliyofanywa na mabeki wake yaliyosababisha wafungwe bao 2-1 na Instanbul Basaksehir katika ligi ya mabingwa Ulaya si ya kusameheka.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS