Kusaya aahidi haya kwenye kilimo cha umwagiliaji
Katibu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya, amesema,watanzania wategemee mageuzi makubwa katika kilimo cha umwagiliaji, kwani serikali imejipanga kikamilifu kukabiliana na changamoto zinazoikabili sekta hiyo.