Rais Mwinyi amteua Mwinyi kuwa Mwanasheria Mkuu Mwanasheria Mkuu mpya wa Zanzibar, Mwinyi Talib Haji Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Mwinyi, amemteua Mwinyi Talib Haji, kuwa Mwanasheria Mkuu Zanzibar. Read more about Rais Mwinyi amteua Mwinyi kuwa Mwanasheria Mkuu