Raia wa Msumbiji ahukumiwa mwaka mmoja jela
Mahakama ya Hakimu Mkazi kisutu Jijini Dar es salaam, imemhukumu raia wa Msumbiji Rashid Athuman Rashim, mwaka mmoja jela au kulipa faini ya shilingi milioni nne katika makosa mawili ikiwemo kuingia nchini bila kibali.