Ndugai ajitosa kutetea kiti chake

Spika wa Bunge Jamhuri wa Muungano aliyemaliza muda wake Job Yustino Ndugai

Spika wa Bunge Jamhuri wa Muungano aliyemaliza muda wake Job Yustino Ndugai, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi kumpendekeza kuwa Spika wa Bunge la 12.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS