Washindi droo Maji ya Kilimanjaro wapokea zawadi
Kampuni ya Bonite Bottlers ambao ni wazalishaji wa Maji ya Kilimanjaro, leo Disemba 17, 2019 imefanya zoezi la ugawaji na kukabidhi zawadi kwa watu 45, ambao ni washindi wa Pikipiki, Runinga (TV) na katoni 50 za maji kupitia droo ya pili ya shindano la shinda na maji ya Kilimanjaro.