Rekodi ya Uganda dhidi ya Kili Stars CECAFA Uganda dhidi ya Tanzania Timu ya taifa ya soka ya Tanzania bara 'Kilimanjaro Stars' inashuka dimbani leo kuvaana na Uganda Cranes katika mchezo wa nusu fainali ya michuano ya CECAFA Senior Challenge Cup. Read more about Rekodi ya Uganda dhidi ya Kili Stars CECAFA