Mbowe kuuachia Uenyekiti? Mpinzani wake huyu hapa
Kesho Disemba 18, 2019 Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wanatarajiwa kuchagua Mwenyekiti wao wa Taifa pamoja na Makamu Mwenyekiti, ambapo Wajumbe zaidi ya 1000 watashiriki Mkutano huo.