Wanafunzi UDSM waijibu Bodi ya Mikopo
Uongozi wa Serikali ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (DARUSO), umesema haujaridhika na ufafanuzi uliotolewa na Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu Nchini (HESLB), na kueleza bado wanaendelea na msimamo wao uleule na sasa yamebaki masaa 48.