Kifo cha MC PiliPili kimeacha majonzi makubwa

Jumuiya ya burudani nchini Tanzania imepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa za kifo cha ghafla cha mchekeshaji na mshereheshaji maarufu, Emmanuel Mathias, anayefahamika zaidi kwa jina la MC Pilipili.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS