Manajeshi wa Marekani akamatwa na mabomu mpakani
Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tarime Rorya iliyotolewa jana November 16 imeeleza kuwa Ongeta alikamatwa wakati akijaribu kuingia Tanzania kwa kutumia gari lenye namba za usajili KDP 502 Y aina ya Toyota Landcruiser.

