CAF kuchunguza malalamiko ya Algeria
Shirikisho la soka la Algeria (FAF), limewasilisha malalamiko rasmi kwa Shirikisho la soka Afrika (CAF) na FIFA kuhusu maamuzi yenye utata ya waamuzi baada ya Algeria kupoteza mchezo wake wa robo fainali ya AFCON 2025 dhidi ya Nigeria.

