Jeshi la Polisi launda kikosi maalumu

Kamanda wa polisi mkoani Pwani Jonathan Shanna

Jeshi la polisi mkoani Pwani limeanzisha kikosi kazi maalumu kwa ajili ya kufuatilia madereva wanao washawishi askari kupokea rushwa pindi wanapokutwa na makosa mbalimbali ya usalama barabarani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS