Mrisho Gambo awatolea uvivu wanaume

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amefunguka na kuwashauri wanaume wenzake kuacha kuwa na mahusiano na wanawake wasiokuwa na mawazo ya kupambana na hali ya uchumi wa maisha na badala yake kutaka kula starehe peke yake bila ya kujali kesho yao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS