Nay wa Mitego ajisifu kukata miuno
Rapa Nay wa Mitego mwenye 'hit song' ya 'Mikono Juu' amefunguka na kujitetea kwamba kuhusiana na kukatika viuno katika video yake wimbo mpya na kudai ameamua kufanya hivyo ili kujaribu kuonesha umma kuwa naye anaweza jambo hilo.
